Ingia / Jisajili

HERI KILA MTU

Mtunzi: Otto A.mshami
> Mfahamu Zaidi Otto A.mshami
> Tazama Nyimbo nyingine za Otto A.mshami

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: otto mshami

Umepakuliwa mara 137 | Umetazamwa mara 640

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Katikati Familia Takatifu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake. MASHAIRI 1 Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, Vyumbani mwa nyumba yako. Wanao kama miche ya mizeituni Wakiizunguka meza yako. 2 Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana. 3 Bwana akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;Naam, ukawaone wana wa wanao. Amani ikae na Israeli.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa