Mtunzi: Castus Vyampaka
> Tazama Nyimbo nyingine za Castus Vyampaka
Makundi Nyimbo: Miito | Ndoa | Zaburi
Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE
Umepakuliwa mara 827 | Umetazamwa mara 2,191
Download Nota Download MidiHero kila mtu amchaye Bwana,heri kila mtu amchaye Bwana aendaye katika njia katika njia take.
1.Taabu ya mikono yako hakika utaila,utakuwa na heri na kwako Bwana.
2.Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao nyumbani mwa nyumba mwa nyumba yako