Ingia / Jisajili

Heri Kila Mtu Amchaye Bwana

Mtunzi: Africanus A.N
> Mfahamu Zaidi Africanus A.N
> Tazama Nyimbo nyingine za Africanus A.N

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Africanus Adriano

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 11

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Familia Takatifu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Heri kila mtu amchaye Bwana, aendaye katika njia njia zake, aendaye katika njia njia zake *2.

MASHAIRI 

  1. Taabu ya mikono yako hakika utaila, utakuwa heri na kwako kwema.
  2. Mkeo atakuwa kama mzabibu, uzaao nyumbani mwa nyumba yako, wanao kama miche ya mizeituni, wakiizunguka meza yako.
  3. Tazama atabarikiwa hivyo amchaye Bwana atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana.
  4. Bwana akubariki toka Sayuni, uone u heri wa Yerusalemu, siku zote za maisha yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa