Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 5,576 | Umetazamwa mara 11,724
Download Nota Download MidiKiitikio:
Heri Kila mtu amchaye Bwana aendaye katika njia zake
Mashairi:
1.Taabu ya mikono yako hakika utaila utakuwa heri na kwako kwema.
2. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao vyumbani mwa nyumba vyumbani mwa nyumba yako, wanao kama miche, miche ya mizeituni wakiizunguka nyumba yako.
3.Tazama tazama utabarikiwa hivyo, yule amchaye, amchaye bwana
4. Naam ukawaone, ukawaone wana wa wanao, ukawaone wana, wana wa wanao, amani amani ikae ikae na Israeli, Amani ikae na Israeli ikae na Israeli.