Ingia / Jisajili

Heri Kila Mtu Amchaye Bwana

Mtunzi: Venant Mabula
> Tazama Nyimbo nyingine za Venant Mabula

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Edward Challe

Umepakuliwa mara 2,912 | Umetazamwa mara 6,208

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Heri kila mtu,heri kila mtu amchae Bwana amchaye Bwana aendaye katika njia yake x2

Shairi

1. Taabu ya mikono yako hakika utaila utakuwa heri na kwako kwema.

2. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao vyumbani mwa nyumba yako.

3. \wanao kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yako.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa