Ingia / Jisajili

Heri Kila Mtu Amchaye Bwana

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,476 | Umetazamwa mara 4,450

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Heri kila mtu amchaye Bwana) Heri kila mtu amchaye Bwana aendaye katika njia yake Bwana x 2
Taabu ya mikono yako hakika utaila, utakuwa heri na kwako kwema x 2

  1. Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi, kizazi cha wenye adili kitabarikiwa, kizazi cha wenye adili kitabarikiwa. 

  2. Nyumbani mwake kuna mali kuna pia utajiri, nuru hutokea kwa mwadilifu hata awapo gizani; ni yule mwenye rehema, huruma na haki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa