Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Epifania
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 420 | Umetazamwa mara 1,234
Download Nota Download MidiHERI KILA MTU AMCHAYE (2)
Heri kila mtu amchaye Bwana ,heri kila amchaye Bwana aenda--ye katika njia zake taabu ya mikomno yake hakika utaula ...x2
1. Utakuwa mwenye heri na baraka tele Bwana atakubariki siku zote za maisha yako
2. Mkeo atakuwa kama mzabibu mzabibu uzaao nyumbani mwa nyumba yako
3. Wanao ka miche ya mizeituni wakiizunguka meza wakiizunguka meza yako
4. Hakika huyo atabarikiwa sana yule amchaye Bwana atabarikiwa kutoka Sayuni
5. Uone heri heri Yerusalemu kwao wana wa Wanao siku zote za maisha yako.