Ingia / Jisajili

Heri Nane

Mtunzi: Andrew Sizimwe

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 852 | Umetazamwa mara 3,132

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Heri walio maskini wa roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao.
     
  2. Heri, heri wenye huzuni; maana hao watafarijika.
     
  3. Heri, heri wenye upole; maana hao watairithi nchi.
     
  4. Heri wenye njaa na kiu ya haki; maana hao watashibishwa.
     
  5. Heri, heri wenye rehema; maana hao watapata rehema.
     
  6. Heri, heri wenye moyo safi; maana hao watamwona Mungu.
     
  7. Heri, heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa Mungu.
     
  8. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa