Ingia / Jisajili

Heri Taifa ambalo

Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 1,871

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

/(Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao ni) Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao x2//(Watu alio wachagua, kuwa urithi wake, Heri Taifa ambalo, Bwana ni Mungu wao ni Heri Taifa ambalo, Bwana ni Mungu wao x2/.

1.Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye Haki, kusifu kunawapasa wanyofu wa Moyo.

2.Tazama Jicho, Jicho la Bwana, likwao wamchao, wazigonjeao Fadhili zake.

3.Yeye huwaponya nafsi zao na Mauti, nakuwahuisha , kuwahuisha wakati wa njaa.

4.Ee Bwana Fadhili zako zikae nasi, kama vile Bwana kama vile tulivyo kungoja wewe.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa