Mtunzi: B. Mingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za B. Mingwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,781 | Umetazamwa mara 4,627
Download Nota Download MidiHeri Taifa ambalo Bwana ni Mugu wao Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao x 2, Watu alio wachagua ku wa urithi wake, Watu aliowachagua kuwa urithi wake x 2.
Mashairi:
1. Kwa kuwa neno la Bwana ni adili, kazi yake huitenda kwa uaminifu, Bwana huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za Bwana.
2. Kwa neno la Bwana Mbingu zilifanyika, Na Jeshi lake kwa pumzi ya kinywa chake, Maana yeye alisema ikawa na yeye ndiye aliyeamuru ikasimama.
3. Tazama jicho la Bwana likwa wamchao, Wale wazingojao fadhili zake, Huwaponya nafsi zao na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa.