Mtunzi: F.m.mtebe
> Mfahamu Zaidi F.m.mtebe
> Tazama Nyimbo nyingine za F.m.mtebe
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Antony Chacha
Umepakuliwa mara 751 | Umetazamwa mara 1,999
Download Nota Download MidiHeri waendao katika Sheria ya Bwana, Heri wamtafutao Bwana kwa moyo wao wote. ×2
1. Heri walio kamili njia zao, waendao katika sheria, sheria yake Bwana heri wazitiio shuhuda shuhuda zake.
2. Ee Bwana wewe unifundishe njia, nifundishe na Amri zako, nami nitazishika nami nitashika sheria kwa moyo wote.
3. Wewe umetuamuru watu wako, tuyapende matendo yako, tuwe thabiti nasi yutakushangilia nyakati zote.