Ingia / Jisajili

Heri walio kamili Njia zao

Mtunzi: Gabriel D. Ng'honoli
> Mfahamu Zaidi Gabriel D. Ng'honoli
> Tazama Nyimbo nyingine za Gabriel D. Ng'honoli

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Gabriel D. Ng'honoli

Umepakuliwa mara 149 | Umetazamwa mara 924

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri Walio kamili njia zao waoendao katika sheria ya Bwana. 1.Heri wazitiio shuhuda zake wamtafutao kwa moyo wote, naam hawakutenda ubatili wamekwenda katika njia zake. 2.Wewe umetuamuru mausia yako ili sisi tuyatii sana. 3. Ningependa njia zangu ziwe thabiti nizitii amri zako. 4.Nitakushukuru kwa unyofu wa moyo nikiishi kujifunza shuhuda zako za haki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa