Ingia / Jisajili

Heri Walio Maskini Wa Roho

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 422 | Umetazamwa mara 579

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri walio maskini wa roho maana ufalme wa mbinguni ni wao X2

1. Huishika kweli milele huwafanyia hukumu walioonewa

2. Huwapa wenye njaa chakula Bwana hufungua walioofungwa

3. Bwana huwafumbua macho waliopofuka Bwana huwainua walioinama

4. Bwana huwahifadhi wageni huwategemeza yatima na mjane

5. Bwana huwapenda wenye haki bali njia ya wasio haki huipotosha

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa