Ingia / Jisajili

Heri Walio Maskini Wa Roho

Mtunzi: Elias William Mtemi (Ewimu)
> Mfahamu Zaidi Elias William Mtemi (Ewimu)
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias William Mtemi (Ewimu)

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Elias William Mtemi (Ewimu)

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Heri walio maskini wa roho x2

Maana ufalme wa mbinguni ni ufalme wao x2

1.Huishika kweli milele, kuwafanyia hukumu walioonewa.

2.Huwapa wenye njaa chakula, Bwana huwafungua walio fungwa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa