Ingia / Jisajili

Heri Walio Maskini Wa Roho

Mtunzi: Elia Temihanga Makendi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elia Temihanga Makendi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: elia makendi

Umepakuliwa mara 259 | Umetazamwa mara 1,258

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri walio maskini wa roho, maskini wa roho maana ufalme wa mbinguni ni wao maana ufalme wa mbinguni ni waox2 1.Heri wenye upole maana watairithi maana hao watairithi nchi. 2.Heri wenye huzuni maana watafarijika maana hao watafarijika. 3.Heri.. wenye njaa name kiu kiu ya haki maana hao hao watashibishwa. 4.Hero wenye rehema maana wata..pata maana hao watapata rehema. 5.Heri wenye moyo safi maana watamwona Mungu maana hao watamwona Mungu. 6.Heri wapatanishi maana maana hao wataitwa wana wa Mungu. 7.Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa