Ingia / Jisajili

Heri Wenye Huzuni

Mtunzi: Yohana J. Magangali
> Mfahamu Zaidi Yohana J. Magangali
> Tazama Nyimbo nyingine za Yohana J. Magangali

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mazishi

Umepakiwa na: Yohana Magangali

Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 443

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 5 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Heri wenye huzuni || x 2 || maana hao, watafarijika, watafarijika, watafarijika|| x 2 1. Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watashibishwa 2. Heri walio walio na huruma, maana hao watahurumiwa 3. Heri wenye moyo wenye wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa