Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Watakatifu
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Watakatifu Wote
Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki maana (ufalme) ufalme wa mbingu ni wao X2
1. Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo kwa ajili yangu
2. Furahini na kushangilia kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii kabla yenu