Ingia / Jisajili

Heri ya mwaka mpya

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 1,896 | Umetazamwa mara 3,966

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Heri ya mwaka mpya;-

Heri ya mwaka mpya tutakiane heri,

Heri ya mwaka mpya tutakiane heri ya mwaka mpya.×2

Mashairi;-

1.Hongera sana kwa kuumaliza mwaka salama.

2.Ni furaha kubwa Sana ya kuuanza kwama mpya.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa