Ingia / Jisajili

HERI

Mtunzi: Leonard Tete
> Mfahamu Zaidi Leonard Tete
> Tazama Nyimbo nyingine za Leonard Tete

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 430 | Umetazamwa mara 1,701

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                            KIITIKIO

                                        Heri, heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake. *2

                                            Wala, wala hakuwaelekea wenye kiburi *2

                                                                            MASHAIRI

  1. Heri mtu yule, asiyekwenda katika shauri la wasio haki, wala hakusimama katika njia ya wakosaji, wakosaji wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
  2. Naye atakuwa kama mti ulopandwa kando kando ya vijito, vijito vya maji uzaao matunda yake kwa majira yake na kila alitendalo litafanikiwa.
  3. Sivyo walivyo wasio haki, hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki, bali njia ya wasio haki itapotea.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa