Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 704 | Umetazamwa mara 3,035
Download Nota Download MidiHESHIMA NA ADHAMA
Heshima na adhama ziko mbele zake,
//:nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake://
1. Mwimbieni Bwana, mwimbieni wimbo mpya, mwimbieni Bwana, mwimbieni nchi yote.
2. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu na tetemekeni mbele zake nchi yote.