Mtunzi: Dominick K.damas
> Tazama Nyimbo nyingine za Dominick K.damas
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Dominick Damas
Umepakuliwa mara 988 | Umetazamwa mara 2,927
Download Nota Download MidiHii Ndiyo siku aliyoifanya Bwana tutashangilia na kufurahia 1.Aleluya mshukuruni Bwana kwa Kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele, Israeli na aseme Sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele 2.Mkono wa kuume wa Bwana umetukuka, mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu, sitakufa Bali nitaishi nitayasimulia matendo ya Bwana 3 Jiwe walolikataa waashi ndilo Jiwe kuu la pembeni, neno hili latoka kwa Bwana tena ni ajabu machoni petu