Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,320 | Umetazamwa mara 3,512
Download Nota Download MidiHII PASAKA
Hii ni pasaka, Hii ni pasaka ya Bwana, Hii ni pasaka ya Bwana,
Ndiyo siku Bwana alipowapiga wazaliwa wa wamisri akaziokoa nyumba zetu.
Na leo sikukuu ya pasaka tuishangilie ( aleluya), Mwokozi Yesu kafufuka Aleluya.
Wakristu wote tuimbe tuimbe aleluya, tupige vigelegele tumfanyieni shangwe Yesu kafufuk.
1. Mababu zetu walisema kwa vizazi vyao, Hii ndiyo pasaka ya Bwana tulipokombolewa.
2. Hii ndiyo pasaka ya Bwana anapochinjwa, yule mwanakondoo wa paska kutolewa sadaka.
3. Hii ndiyo pasaka ya Bwana minyororo ya dhami, iliposhindwa na Bwana Yesu kwa ufufuko wake.
4. Hii ndiyo pasaka ya Bwana popote duniani wanao mkiri Kristu Yesu wanapokombolewa