Ingia / Jisajili

Chakula Chenye Uzima

Mtunzi: Godlove Mayazi
> Mfahamu Zaidi Godlove Mayazi
> Tazama Nyimbo nyingine za Godlove Mayazi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Godlove Mayazi

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hiki ndicho chakula chenye uzima, kilichoshuka kutoka Mbinguni, wateule wote twendeni tukale chakula Cha mbingu, ili tupate uzima wa milele X2

1. Sote twaalikwa mezani Kwa Bwana ili tupate uzima wa milele

2. Tule mwili wake tunywe damu yake ili tupate uzima wa milele

3. Chakula kitamu kutoka Mbinguni wenye moyo safi twendeni tukale

4. Mwenye kula hiki chakula Cha mbingu atapata uzima wa milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa