Ingia / Jisajili

Hiki Ni Chakula

Mtunzi: Vedasto A.J. Rusohoka
> Mfahamu Zaidi Vedasto A.J. Rusohoka
> Tazama Nyimbo nyingine za Vedasto A.J. Rusohoka

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vedasto Adriano

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 32

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hiki ni chakula kilichoshuka kutoka Mbinguni kwa ajili yetu pia Hiki ni kinywaji kilichoshuka kutoka Mbinguni kwa ahili yetu.twendeni wote tule chakula chauzima ili tupate uzima wa Roho zetu, pia twendeni wote tunywe kinywaji cha uzima ili tupate uzima wa Roho zetu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa