Mtunzi: E. Luliko
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,449 | Umetazamwa mara 5,585
Download Nota Download MidiHiki ni chakula cha uzima chakula cha uzima hiki ni chakula cha uzima wa milele x2
1. Bwana ni chakula kweli cha uzima Bwana Bwana chakula cha kweli
2. Bwana ndiye shime yangu, na uzima kweli ni msaada wangu.
3. Bwana anafundisha, siku zote yeye ndiye mwalimu wangu.
4. Bwana ananituliza, siku zote yeye ndiye furaha yangu.
5. Bwana ananishibisha, siku zote yeye ndiye chakula changu.
6. Bwana ananiburudisha, siku zote yeye ndiye kinywaji changu.