Ingia / Jisajili

Hiki ni kizazi 01

Mtunzi: Noel Kipili Gerry
> Mfahamu Zaidi Noel Kipili Gerry
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Kipili Gerry

Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili | Watakatifu | Zaburi

Umepakiwa na: Kam's Swana

Umepakuliwa mara 620 | Umetazamwa mara 1,736

Download Nota
Maneno ya wimbo

Hiki ndicho kizazi (kizazi ) chawenye kutafuta uso wako;

Ee Bwana, nchi ni yako na vyote vinavyo ijaza ni vyako

Mashairi

1. Dunia na vyote, vya liyomo ndani yake ni wake


Maoni - Toa Maoni

Kam's swana Oct 20, 2020
Baba Mungu bariki kazi zake Kaka Kipili. Kwani anazitunga nyimbo zake vizuri sana kwa sifa yako.

Toa Maoni yako hapa