Ingia / Jisajili

Hima Hima Twende Tukatoe

Mtunzi: France Kihombo
> Mfahamu Zaidi France Kihombo
> Tazama Nyimbo nyingine za France Kihombo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: France Kihombo

Umepakuliwa mara 3,350 | Umetazamwa mara 7,885

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Hima hima tunyanyuke kwa pamoja twende kwa Bwana tukatoe twende sote tukampe /Mungu /Baba zawadi zetu haya twende.tukamtolee Mungu Baba zawdi zetu tukampe,fedha na mazao tupeleke kama shukrani kwake Bwana.

  2. Kutoa kweli ni moyo ndugu yangu simama twende tukatoe usiseme sina kitu kwani Mungu anakuona haya twende tukamtolee.......

  3. Kakujalia neema zake bure nyanyuka twende tukatoe hujamlipa chochote basi sasa kamshukuru haya twende tukamtolee.....

  4. Twende sote aeee twende sote tukatoe,kina baba aee twende sote tukatoe.kina mama aee....., kina kaka aeee....,kina dada aeee....., watu wote aeeee twende wote tukatoe.


Maoni - Toa Maoni

deusdedith raphael Jul 19, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu napenda kupongeza program hii kwa ujumla kwa kadiri inavyozidi kueneza injili ya Mungu. wabarikiwe wote wanai fanikusha haya

Toa Maoni yako hapa