Ingia / Jisajili

Hivi Ndivyo Inatupasa Kuishi

Mtunzi: F. E. Nyanza
> Tazama Nyimbo nyingine za F. E. Nyanza

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 5,340 | Umetazamwa mara 10,373

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Laurent Katalo Jan 02, 2020
Hongera sana Mwl Nyaza kwa tungo zako nzuri!

Petro Linganda Jan 26, 2019
Nakupongeza Sana mwalimu kwa kazi nzuri. Kaza buti Injili ya Mungu ienee dunia yote.

L.SEKWAO Oct 28, 2018
Mwl. Nyanza natamani siku moja nami nifikie hapo nahitaji kujua upo parokia gani hata naweza kukutafta maana MUNGU atukuzwe juu yako

m.baseke Aug 03, 2017
mwl. nyanza nakupongeza sana maana nyimbo unazotunga kwanamna nyingine zinatupanua mawazo kiuimbaji kaza but mungu akubariki.

Toa Maoni yako hapa