Ingia / Jisajili

Hodi Nabisha

Mtunzi: Lawrence mutuma
> Mfahamu Zaidi Lawrence mutuma
> Tazama Nyimbo nyingine za Lawrence mutuma

Makundi Nyimbo: Misa | Ndoa

Umepakiwa na: Lawrence Mutuma

Umepakuliwa mara 33 | Umetazamwa mara 98

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HODI NABISHA Hodi nabisha kwako Bwana Mungu wangu,Hodi nifungulie mlango niingie niungane na Hawa wateule wake Mungu. 1,Nimeingia hapa hekaruni mwako hili nikuimbie na nikutukuze Bwana. 2,Umenilinda wiki nzima Mungu wangu, ndio maana Mimi, nasema Asante Bwana. 3,Afya nzuri ninayo huai wa bure vyote ni vyako Mungu nasema Asante Bwana. 4, Mifugo nazo fedha umenijalia ishara dhibitisho ya mapendo yako Bwana.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa