Ingia / Jisajili

Hongera Maharusi

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Severine Fabian

Umepakuliwa mara 74 | Umetazamwa mara 163

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hongereni Maharusi Bwana na Bibi Harusi. Hongera sana Baraka Iwe nyumbani mwenu Agano lenu Upendo litunzeni Pendo hili, hekima Hii ya Ndoa Iwe nyumbani mwenu Kaka ... Mtunze huyo wako Dada... Hongera Sana 1.Dumisheni Pendo katika Ndoa Yenu Hongereni kwa Ndoa Yenu 2.Utunzeni vema zawadi ya watoto, ni Maua ya Ndoa Yenu 3.Mungu awajaze Neema na Baraka hongereni kwa Ndoa Yenu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa