Ingia / Jisajili

Hongereni (Upadrisho)

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Makasisi wapya wa Bwana hongereni. Wapakwa mafuta ya Bwana hongereni. (Sasa mnatumwa kwenda kuwachunga kondoo wake) x2 Asipotee hata mmoja (kondoo) hata mmoja katika utumishi wenu x2

Mashairi

1. Mungu awajalie hekima na busara, mnapochunga kondoo wake

2. Roho mtakatifu awe mwalimu wenu awafundishe kile cha kusema

3. Nasi twawaombea mafanikio mema katika utume huu mlioanza


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa