Ingia / Jisajili

Hongereni Wanandoa

Mtunzi: Venas William Lujinya
> Tazama Nyimbo nyingine za Venas William Lujinya

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Venas W Lujinya

Umepakuliwa mara 144 | Umetazamwa mara 282

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hongereni hongereni ninyi mliyounganishwa Bwana awalinde siku zote Katika ndoa yenu x2. 1. Bwana anayabariki (Leo) mapaji haya mdumu katika pendo Lenu sikuzote za maisha yenu 2. Tunawaombea ninyi (Wana) ndoa wa wili Mungu baba awalinde siku zote Katika maisha yenu 3. Tumuombie Mungu baba (Tena) awaongoze katika malezi ya watoto wenu mtakao barikiwa 4. Mpendane sikuzote (Tena) za maisha yenu katika kusali jumuiya ndogondogo nyumbani mwenu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa