Mtunzi: Alexander Francis Sitta
> Mfahamu Zaidi Alexander Francis Sitta
> Tazama Nyimbo nyingine za Alexander Francis Sitta
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Alexander Francis Sitta
Umepakuliwa mara 1,477 | Umetazamwa mara 3,780
Download NotaHorini mwa ng'ombe leo hii kazaliwa, horini mwa ng'ombe horini mwa ng'ombe Bethlehemu kazaliwa mwana wa Mungu mwana wa Mungu na mwokozi wetu x 2. Kazaliwa leo aleluya Bwana na mwokozi wetu aleluya kazaliwa leo aleluya njoni wote tumtolee zawadi aleluya x 2.
Mabeti
1. Usiku wa manane malaika kutoka mbinguni akawatuliza wachungaji msiogope amezaliwa mwokozi atakayewakomboa.
2. Twendeni hima tukamwone mtoto Yesu twendeni kwa unyenyekevu tukatoe zawadi zetu na mapendo yetu na mapendo yetu yote.
3. Tumwimbie tumwimbie mwana wa Mungu kwa shangwe pia kwa furaha maana yeye amezaliwa na Bikira Bikira safi Maria.