Mtunzi: Fidelis. Kashumba
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis. Kashumba
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 6,784 | Umetazamwa mara 14,060
Download Nota Download Midi
F.M. KASHUMBA.
Hosana mwana wa Daudi Hosana mwana wa Daudi, Hosana (Hosana)
Mbarikiwa anayekuja kwa jina lake Bwana Mungu, Hosana (Hosana)
Hosana Hosana Hosana
(Hosana Hosana Hosana Mwana wa Daudi) x2
1. Kweli hii ndio siku Bwana aliyoifanya na tufurahie,
Mshukuruni Bwana Mungu kwa maana fadhili zake ni zamilele.
2. Mkono wa kuume wa Bwana umetenda makuu na umetukuzwa,
Sitakufa bali nitaishi na kusimulia matendo ya Bwana.
3. Jiwe walilolikataa ndilo Jiwe kuu la pembeni
Neno bali limetoka kwake Bwana Mungu wetu.