Mtunzi: John Kam's(Jk)
> Mfahamu Zaidi John Kam's(Jk)
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kam's(Jk)
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: John michael
Umepakuliwa mara 745 | Umetazamwa mara 2,490
Download Nota Download MidiKiitikio Hubirini kwa sauti ya kuimba tangazeni haya yatamkeni mpaka mwisho wa dunia semeni Bwana amelikomboa taifa lake Mashairi 1. Mpigie Mungu kelele za shangwe imbeni utukufu wajina jina lake 2. Huubirini kwasauti yakuimba imbeni utukufu wajina lake