Ingia / Jisajili

Hubirini Kwa Sauti Ya Kuimba

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 437 | Umetazamwa mara 1,076

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HUBIRINI Ni kwa SAUTI ya kuimbaX,2 Tangazeni haya ya tamkeni mpaka mwisho wa duniaaX2.(1)Semeni Bwana amelikomboa taifa lake aleluya aleluya aleluya.(2).Mpigieni kelele kelele za shangwe mwimbieni mungu matendo yake yanatisha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa