Ingia / Jisajili

HUBIRINI KWA SAUTI YA KUIMBA

Mtunzi: Sylvester Cyril Omallah
> Mfahamu Zaidi Sylvester Cyril Omallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvester Cyril Omallah

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Frt. Sylvester Omallah

Umepakuliwa mara 361 | Umetazamwa mara 1,230

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hubirini kwa sauti, hubirini kwa sauti, kwa sauti ya kuimba, yatangazeni haya tena yatamkeni hata, mpaka mwisho wa dunia, semeni Bwana, amelikomboa, amelikomboa taifa lake aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa