Mtunzi: Rogers Justinian Kalumna
> Tazama Nyimbo nyingine za Rogers Justinian Kalumna
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 1,075 | Umetazamwa mara 4,022
Download Nota Download Midi1. Huu ni mwili wake Bwana ndiyo mwili wake Bwana natuuabudu
2. Hii ni damu yake Bwana ndiyo damu yake Bwana na tuiabudu
Ee Bwana….
Tunatangaza kifo chako na kutukuza ufufuk wako hata utakapokuja x2