Mtunzi: Edmund C.sambaya
> Mfahamu Zaidi Edmund C.sambaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Edmund C.sambaya
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Edmund Sambaya
Umepakuliwa mara 573 | Umetazamwa mara 2,154
Download NotaKIITIKIO:( Huyu ndiye wakili mwaminifu na mwenye busara) x2 (ambaye bwana atam weka juu ya mtumishi wake milele) x2
MASHAIRI: 1. Mungu baba mwenyezi twashukuru, kwakutupatia leo huyu mchungaji mwema.
2. tuna furaha leo sisi sote, kwa kuwa tumempata huyu mchungaji mwema
3. Alipitia shida tabu nyingi, na leo umempatia lile hitaji lake
4. Ee bikira Maria umwombee kwa Mungu baba mwenyezi adumu milele yote
5. Awachunge kondoo wake Mungu, asije akapotea hataa mmoja wao