Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu
Umepakiwa na: Philemon Kajomola
Umepakuliwa mara 18,098 | Umetazamwa mara 25,977
Download Nota Download MidiHuyu ni Yesu kutoka mbinguni, kikombe hiki ni amana ya upendo, (huyu ni Yesu, huyu ni Yesu) x2
1. Mkate huu ndio mwili wangu, kuleni nyote mpate uzima, huyu ni Yesu, huyu ni Yesu
2. Divai hii ndio damu yangu, kunyweni nyote mpate uzima, huyu ni Yesu, huyu ni Yesu
3. Utambulisho wa imani yetu, fanyeni hivi kwa kunikumbuka, huyu ni Yesu, huyu ni Yesu
4. Anayekula huu mwili wangu, na kunywa pia hiyo damu yangu, huyu ni Yesu, huyu ni Yesu
5. Huyu hukaa kweli ndani yangu, na mimi pia nakaa ndani yake, huyu ni Yesu, huyu ni Yesu