Ingia / Jisajili

Ibada Ya Kiroho

Mtunzi: Edwin Okeyo
> Mfahamu Zaidi Edwin Okeyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Edwin Okeyo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Edwin Okeyo

Umepakuliwa mara 43 | Umetazamwa mara 72

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kwa hiyo ndugu zangu ninawasihi kwasababu ya huruma zake jitoeni kwa Mungu; Muwe sadaka hai na takatifu na inayompendeza Mungu ndiyo ibada ya kiroho (Msiige tabia na mienendo ya dunia hii bali mbadilishwe nia zenu zikifanywa kuwa mpya x2) 1.Kwasababu ya neema niliyopewa nawambieni msijifikirie kuwa watu wa juu kuliko mlivyo. 2.Muwe kiasi katika mawazo yenu na mjipime kipimo cha iamani, cha imani mliyopewa na Mungu. 3.Kama vile kila mmoja ana mwili, mwili mmoja halikadhalika ndani ya Kristu tunayo mwili mmoja. 4.Tumepewa vipawa tofauti kulingana na neema tuliyopewa, kutoka kwa Mungu kama mtu ana kipawa cha unabii basi akitumie kulingana na imani yake.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa