Ingia / Jisajili

Imani bila matendo mema Ni bure

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 307 | Umetazamwa mara 1,313

Download Nota
Maneno ya wimbo
Imani bila matendo mema Ni bire(imani)x2 Imani bila matendo mema Ni burex2 (matendo) matendo mema ambayo yanampendeza mungu matendo yapendezayo duniani na mbinguni ndiyo kibali na ufunguo was malango ya mbingunix2. Shairi imeandikwa ya kwamba mwili pasipo roho umekufa vivyo hivyo na imani pasipo matendo mema Ni burex2 ndugu yangu tuwe na imani tena yenye matendo mema. 2)tunakuomba e mungu tuongezee imani tena Imani yenye matendo mema ili tuweze kukutumikia mungu wetu sisi Wana wako ili tuje kwako mbinguni. Kibwagizo mungu alituumba katuleta duniani lengo tumtumikie ili tufike mbinguni ila yatupasa kwanza tuwe nayo;;imani(imani) imani imani yenye matendobmema kwa mungux2

Maoni - Toa Maoni

John kimaro Dec 08, 2020
Samahani huu wimbo nimeuaplod mm lkn siuoni ktk profile yng je nitafanya Nini ili uwepo ktk profile yangu?

Toa Maoni yako hapa