Mtunzi: M. Chille
> Tazama Nyimbo nyingine za M. Chille
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Michael Chille
Umepakuliwa mara 1,046 | Umetazamwa mara 3,316
Download Nota Download Midi
Kiit: Imba, kweli ni vema kumwimbia Mungu kwapendeza kusifu, kumsifu kwapendeza x 2
Imba (aleluya) imba umsifu Bwana (imba), imba imba (umshangilie) umtukuze Bwana x 2
Mashairi 1: (a) Imba imba umheshimu Bwana (imba), imba imba umtukuze Bwana
(b) Imba imba Umwabudu Bwana.....
(c) Imba imba umshukuru Bwana.....
2:(a) Imba imba umwombe Bwana....
(b) Imba imba umhimidi Bwana.....
(c) Imba imba umwinue Bwana......