Mtunzi: M.d. Matonange
> Tazama Nyimbo nyingine za M.d. Matonange
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka
Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE
Umepakuliwa mara 886 | Umetazamwa mara 2,270
Download Nota Download MidiNjoni mataifa yote duniani njoni tumwimbie Mungu mtawala.Njoni na malaika wa mbinguni njoni tumwimbie Mungu mtawala.Imbeni enyi milima(imbeni) imbeni enyi mabonde nanyi majangwa na bahari msifunix2
1.Imbeni wanyama wa porini imbeni enyi ndege wa angani nanyi samaki baharini sifuni.
2.imba sasa nawe mbingu imba sasa nawe nchi nanyi mwezi na nyota msifuni Mungu.
3.Mungu katukuka duniani ametukuka na hata mbinguni Mungu wetu ndiye mtawala milele.
4.imba sasa we mchana imba sasa we usiku viumbe vyote vimwimbie
Mtawala