Mtunzi: Nicholas Kioko
> Mfahamu Zaidi Nicholas Kioko
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicholas Kioko
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: Nicholas Kioko
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiImeenea kote.
(imeenea kote)
sifa zimetanda ulimwenguni kote, watu washapenda runinga ya Capchun. (imeenea kote duniani tunashukuru,
kwa uwezo wake Mungu imetanda ulimwenguni kote kwa vipindi vya kuelimisha) *2
1. Mmeweza kuwafikia wakristo wote, na wasio wakristo ulimwenguni kote.
2.. 'Kina baba na kina mama wanafurahi,, kwa kuona vipindi vyao vyapeperushwa.
3. Mungu Baba awalinde na awape nguvu, kueneza injili ulimwenguni kote
hitimisho
Mungu ilinde runinga yetu - milele na milele
uwalinde wanaoiongoza - milele ne milele milele.
leta upendo na mapatano -milele na milele
leta furaha yako ewe Mungu - milele na milele milele.
ndio waweze kutuelimisha - milele na milele.
tukajue fura ya mbinguni - milele ne milele milele