Ingia / Jisajili

Ingekuwa heri leo

Mtunzi: Odax Njuguma
> Mfahamu Zaidi Odax Njuguma
> Tazama Nyimbo nyingine za Odax Njuguma

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: ZK ACTER

Umepakuliwa mara 250 | Umetazamwa mara 706

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake, tisifanye migumu mioyo yetu. MASHAIRI 1.Njoni njoni tumwimbie bwana, tumfanyie shangwa mwamba wa wakovu wetu 2.Tuje mbele zake kwa shukrani, tumfanyie shangwe bwana wetu kwa zaburi 3.Tupige magoti mbele zake, mbele zake bwana bwana aliyetuumba.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa