Ingia / Jisajili

Inueni Vichwa Vyenu Enyi Malango

Mtunzi: Africanus A.N
> Mfahamu Zaidi Africanus A.N
> Tazama Nyimbo nyingine za Africanus A.N

Makundi Nyimbo: Matawi

Umepakiwa na: Africanus Adriano

Umepakuliwa mara 153 | Umetazamwa mara 583

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Inueni vichwa vyenu, enyi malango, mfalme wa utukufu apate kuingia ×2 1. Yeye ni mfalme, Bwana was majeshi, Bwana hodari wa Vita 2. Hosana juu, hosana juu, mbarikiwa mwingi wa rehema. 3. Nchi na vyote, ni mali yake, Dunia na vyote vilivyomo

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa