Ingia / Jisajili

Inueni Vichwa Vyenu Enyi Malango

Mtunzi: George F. Handel
> Tazama Nyimbo nyingine za George F. Handel

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari | Matawi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 7,085 | Umetazamwa mara 13,854

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Inueni vichwa vyenu enyi malango inukeni enyi Malango ya milele mfalme wa utukufu apate kuingia

Ni nani mfalme wa utukufu ni mfalme wa utukufu ni nani Mfalme wa utukufu ni nani Mfalme wa utukufu Bwana mwenye nguvu hodari Bwana mwenye nguvu hodari Bwana hodari wa vita

Inueni vichwa vyenu enyi malango naam inueni vichwa vyenu enyi malango ya milele Mfalme utukufu apate kuingia ni nani Mfalme wa utukufu ni nani mfalme wa utukufu ni nani mfalme wa utukufu Bwana wa majeshi Bwana wa majeshi

Yeye ndiye Mfalme wa utukufu yeye ndiye Mfalme wa utukufu Yeye ndiye Mfalme wa utukufu yeye ndiye mfalme wa utukufu Yeye ndiye Mfalme wa utukufu…..

Bwana wa majeshi ndiye Mfalme wa utukufu  Bwana wa majeshi yeye ndiye Mfalme wa utukufu….

Yeye ndiye Mfalme wa utukufu….

Bwana wa majeshi…..


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa