Ingia / Jisajili

Inuka Ndugu

Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Steven Kiteve

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 24

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Inuka ndugu tukamtolee Mungu sadaka, shukrani kwa mema mengi aliyotujalia, ametujalia afya njema (pia) ridhiki kukidhi mahitaji yetu ya kila siku, tumshukuru kwa kutoa sadaka.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa