Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 586 | Umetazamwa mara 2,637
Download Nota Download MidiTembea pole pole Upo na Bwana, Tembea pole pole umetakaswa.x2 inuka nenda urudi nyumbani , imani yako imekuokoa.
Mashairi
1. Tazama umeponywa magonjwa yako, chukua godoro lako nenda.
2. Tazama umeponywa madhambi yako, chukua godoro lako nenda.
3. Tazama umeponywa taabu zako, chukua godoro lako nenda.
4. Tazama umeponywa tabia zako, chukua godoro lako nenda.